SABABU ZA KUPUNGUA/KUKOSA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE KIASILI


_Kuna pendekezo la mtu mmoja alisema bora mtu kwanza afahamu kwanza visababishi
Katika maisha ya kila siku kutokana na vyakula ,vinywaji nk ,haya matatizo unaweza kuyapata na ukajiuliza umepungukiwa nguvu namna gani
#makala yangu ya awali nilieleza vizur ule mchanganyiko ambao ndo unaunda (heshimayandoa) napia habari nzur na uwezo wa (mlingo)
Katika Makala yangu ya vyakula vinavyotibu nguvu za kiume watu wengi nliokutana nao na wengine wamekuwa wakinipigia simu wakisema “mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila nawahi kufika kileleni” wengine wakisema “ mimi niko sawa sawa ila tu nakosa hamu ya tendo la ndoa, wengine wanasema mimi tatizo langu ni kuwai kufika kileleni lakini nikifika nashindwa kuendelea na tendo nk.
Ukweli wa mambo ni kwamba
 Kama unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatzo la nguvu za kiume .
 Kama uume hausimami barabara , una upungufu wa nguvu za kiume
 Kama uume unasimama na kulegea kwa muda mfupi au kwa mwanamke fuuani unafanya nae sawasawa ila kwa mwingine mambo hayaendi sawa, basi una tatzo la nguvu za kiume.
 Kama uume wako hulegea tu muda mfupi baada ya kuingia ukeni, una tatizo la nguvu za kiume
 Kama unasikia maumivu wakati wa tendo na wakati uume ukisimama una tatzo na nguvu za kiume
 Kama unashindwa kutoa mbegu (shahawa) au unatoa mbegu nyepesi una tatzo la nguvu za kiume
 Kama unashindwa kurudia tendo mara ya pili una tatizo kubwa la nguvu za kiume
 Kama unashindwa kufika kileleni wakati ukiendelea na tendo una tatizo kubwa la ukosefu wa nguvu za kiume.
Ndugu yangu kama una baadhi au unahisi una dalili za kuwa na matatizo yaliyoainishwa hapo juu basi nakushauli uchukue hatua haraka sana, hi ni kwa sababu kuchelewa kwako kutakufanya hapo baadae tatizo liwe kubwa Zaidi na huenda ukashindwa kulitibia au ukaja kulitibia kwa gharama kubwa Zaidi ya ile iliyotakiwa. Kumbuka kwenda kwako hospitali utapoteza pesa na kujiharibu Zaidi maana utapewa dawa za kukusaidia muda mfupi wakati wa tendo na utaendelea kuharibu mwili wako.
Iwapo una matatzo ya nakutokea jua kabisa una tatizo la NGUVU ZA KIUME sasa ni muda muafaka wa kuanza kutafta matibabu sahihi bila kuchelewa na unapoanza kujitibu ni vzuri zaid kabla mambo hayajawa mabaya zaid unakuwa unajitengenezea mazingira ya kupona lakini chelewa chelewa ….utakuta mwana si wako
Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume
Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia
 Matumizi ya Viagra
 Kupiga Punyeto(masturbation)
 Maradhi ya mishipa ya damu
 Shinikizo la damu la kupanda na kushuka
 Unene mkubwa na kitambi
 Kisukari
 Maradhi ya moyo
 Sigara, pombe na madawa ya kulevya
 Kuendesha magari makubwa kwa mda mrefu
 Lishe mbovu, mfumo mbaya wa maisha, umri, majeraha na vidonda vya tumbo
 Msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
 Ngiri na maradhi ya zinaa
 Uraji wa vyakura vyenye kemikali (chemicals)
MATIBABU
Hakika mpaka sasa unaweza kujijua tatzo lako limetokana na nin ili uweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako.
Lakin kwanza, mchakato wako wa kutafta matibabu upitie njia zifuatazo
I. Salimu amri kuwa una tatizo na usijione huna tatizo kumbe una tatzo litakuwa kubwa Zaidi utajilaumu bdae
II. Thamini afya yako ya mwili na akili
III. Vijue vyanzo vya tatzo lako maana ukishajua chanzo umepiga hatua kubwa katika matibabu
IV. Jadili na mke wako au mwenza wako, kuna baadhi ya wanaume wengi mno wanaogopa kutafta ufumbuzi wa tatzo hilo wakiona ni unyonge mkubwa sana na wengine huona aibu kabisa kwa wake zao matokeo yake tatzo huwa kubwa na baadae kuwa shida kutibika
JITIBU KIASILI KWA DAWA BORA KABISA “MLINGO”tulieleza habari nzur za mlingo na baadhi wameshaitumia na wametoa feedback nzuri sana ,,,,,,
= huponyesha kabisaa
Tunazo dawa bora kabisa ambazo huboresha mzunguko wa damu,
 huufanya uume kuwa imara na mgumu
 na hudumisha uimara huo kwa muda mrefu
 huongeza ham ya mapenzi
 huongesa stamina na misismko wa mapenzi
 pia hukufanya uchelewe kufika kileleni kias cha kufurahia tendo la ndoa
dawa yetu ni mchanganyiko wa mimea zaid ya9. Dawa yetu ni ya asili kabisa ambayo haina madhara na matokeo yake ni ya ajabu sana kwa wale walioitumia.
• MLINGO 1 huinua kiwango cha testosterone ,ambayo hushughulika na kuongeza ham ya tendo la ndoa
• MLINGO 2 hutibu matatzo ya mkojo na viungo vya uzaz. Huongeza utoaji wa nitric oxide ndani ya mwili ambayo huboresha mzunguko wa dam , huifanya misuli kutanuka na mishipa ya ateri kutanuka pia kufanya dam kutiririka vzur
• MLINGO 3 huongeza stamina , hukufanya uchelewe kufika kileleni na uume kuwa mgumu zaid
• MLINGO huongeza shahawa na kuzifanya kuwa na afya bora na kuongeza maji ya shahawa
Kuishiwa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa na ndo maana kabla hatujakupa tiba lazima tujue kwanza chanzo cha tatzo lako hasa na kama tatzo lako ni tata tutakushauri pia cha kufanya. Baadhi ya watu wataona matokeo ndani ya saa chache , na wengine sku chache, na wengine pia wanaweza kuchkua wiki moja au mbili kulingana na ukubwa wa tatzo lao.
Tunao uzoefu wa kutibu wagonjwa wa dalili zote na sababu zote . tunazo dawa aina 15 zenye uwezo wa kutibu vyanzo 18 vya upunguf wa nguv za kiume, hvyo tunapoanza matibabu hatubahatishi , tunajua tunachotibu .
Kwa mahitaji ya matibabu au ushauri
Nb:habari NJEMA za mlingo Imeleta mafanikio mazuri kwa walioitumia na wamefanikiwa ,ushuuda upo
Mwanza, dar es salam utafikishiwa mlingo popote ulipo na pia mikoani tunakutumia kwa bus na Zanzibar tunakutumia kwa boat za azam express na nje ya nchi ya Tanzania tunakutumia kwa DHL
Kama unahitaji mlingo tuachie ujumbe WhatsApp 0763005019 ANDIKA
#NAHITAJIMLINGO NIKO____________TAJA ENEO Nitakujib haraka
Pia tuma SMS za kawaida kwa wasio na WhatsApp 0789068240 au piga kwa maelezo zaidi
OMBI:NJOO KWETU UKIWA NA ROHO YA UAMINIFU TULIOIJENGA KWA WATU WETU KWA MUDA MREFU ,TUNAOMBA TUSIHARIBU UAMINIFU WETU KWA AJILI YA MTU MMOJA
Share na sambaza ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki
#UBARIKIWE

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA TUNGUJA PORI,NYANYA ZA MSHUMAA/CHUNGU/NGOGWE KIAFYA.

FAIDA YA MBOGA YA MCHICHA NI DAWA YA KUTIBU MARADHI MENGI TU UKITUMIA.

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU