Posts

Showing posts with the label AJIRA

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA WIZARA YA AFYA

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb Na. FA 97/128/01/”A’’/31 cha tarehe 12 Julai 2019 kwa ajili ya kuajiri watumishi 550 wa kada mbalimbali za afya. Hivyo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI inapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kada za Afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia leo tarehe 22/07/2019 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati. Nafasi zinazotangazwa ni zifuatazo:-  1. Daktari Daraja la II Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza mafunzo ya kazi “Internship” ya muda usiopungua mwaka mmoja na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).  2. Tabibu Daraja la II Waombaji wawe na Stashahada (Diploma) ya Utabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.  3. Tabibu Msaidizi Wao...

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI, FEBRUARI 2019

Image
J AMHU R I YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA R AIS - TAMISEMI TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI, FEBRUARI 2019 Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli, anaendelea na kuongeza idadi ya watumishi katika Sekta ya Umma kwa kutoa nafasi nyingine za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Sekta ya Elimu. Mchakato huu wa sasa wa ajira utahusisha ajira mpya za watumishi 4549. Ajira hizi zitahusisha walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sababu hiyo, OR-TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha http://ajira.tamisemi.go.tz ( Online Teacher Employment Application System – OTEAS). Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: A.               WALIMU WATAKAOA...

Ajira & Nafasi za Kazi kada ya Afya

Ajira Mpya kwa kada ya Afya awamu ya pili na Nafasi za Kazi kada ya Afya 05 October 2018 T A NGAZO LA KUITWA KAZINI.pdf KUONA MAJINA,BOFYA HAPA   AJIRA AWAMU YA PILI(REPLACEMENT).pdf Tangazo la nafasi za kazi  TANGAZO LA AJIRA REPLACEMENT.p KUOMBA AJIRA BOFYA HAPA   41.59.1.81

Online Teacher Employment Application System – OTEAS

Image
J AMHU R I YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA  R AIS - TAMISEMI TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI, FEBRUARI 2019 Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli, anaendelea na kuongeza idadi ya watumishi katika Sekta ya Umma kwa kutoa nafasi nyingine za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Sekta ya Elimu. Mchakato huu wa sasa wa ajira utahusisha ajira mpya za watumishi 4549. Ajira hizi zitahusisha walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sababu hiyo, OR-TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha  http://ajira.tamisemi.go.tz   ( Online   Teacher Employment Application System  –   OTEAS). Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: A.           ...

Tangazo la ajira wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto

Image