Posts

Showing posts with the label EVENTS

Online Teacher Employment Application System – OTEAS

Image
J AMHU R I YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA  R AIS - TAMISEMI TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI, FEBRUARI 2019 Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli, anaendelea na kuongeza idadi ya watumishi katika Sekta ya Umma kwa kutoa nafasi nyingine za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Sekta ya Elimu. Mchakato huu wa sasa wa ajira utahusisha ajira mpya za watumishi 4549. Ajira hizi zitahusisha walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sababu hiyo, OR-TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha  http://ajira.tamisemi.go.tz   ( Online   Teacher Employment Application System  –   OTEAS). Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: A.           ...

Form Five Joining Instructions Forms 2018/19

Arusha Dodoma Dar es Salaam Iringa Kagera Katavi Kigoma Kilimanjaaro Lindi Manyara Mara Mbeya Morogoro Mtwara Mwanza Njombe Pwani Rukwa Ruvuma Shinyanga Singida Songwe Tabora Tanga

Tiangong-1: Chombo cha anga za juu cha China chaanguka Pacific

Image
Haki miliki ya picha FRAUNHOFER Image caption Chombo hicho cha China kwa jina Tiangong-1 kilifuatiliwa kwa mitambo ya rada Chombo cha anga za juu cha China kilichoacha kutumika Tiangong-1 kimemeguka vipande vingi kikiingia anga ya dunia na kuanguka maeneo ya bahari kusini mwa Pacific. Chombo hicho kiliingia anga ya dunia saa 00:15 GMT Jumatatu, idara ya anga za juu ya China imetangaza. Tiangong-1 ilirushwa angani mwaka 2011 kufanyia majaribio teknolojia ya kuunganisha vyombo mbalimbali anga za juu na pia vyombo vya kuzunguka kwenye mzingo wa dunia. Chombo hicho ni sehemu ya juhudi za China za kuunda kituo cha anga za juu kitakachokuwa kinadhibitiwa na binadamu katika anga za juu kufikia mwaka 2022. Kiliacha kufanya kazi Machi 2016. Tunayoyafahamu kuhusu eneo ambalo kilianguka ? Maafisa wanasema tu kwamba kilianguka "juu ya Pacific Kusini". Wataalamu wa anga za juu wa Marekani wamesema wametumia teknolojia ya kufuatilia mzingo wa dunia kuthibitisha kuingia ardhi...