Posts

Showing posts with the label SPORTS

Sheria 17 za mpira wa miguu, Soka

Kila msimu mpya, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) hutoa mabadiliko ya “Sheria za Mchezo” zinazoelezea kiundani taratibu za mchezo huo. Zifuatazo ni Sheria 17 za mpira wa miguu. Sheria #1: Uwanja Kuna vipimo maalumu vya viwanja wa mchezo wa soka, viwanja vidogo na vikubwa kadhalika. FIFA inasema kwamba katika mashindano ya mchezo wa soka wenye timu za wachezaji 11 kila moja, urefu wa uwanja unatakiwa uwe kati ya mita 100 na mita 130 na upana wake uwe kati ya mita 50 na 100. Kuna nafasi 11 za wachezaji kwenye uwanja wa mpira wa miguu lakini zote zinaweza kuwekwa kwenye makundi makuu manne. Kwenye michezo midogo, idadi ya wachezaji kwenye kila timu inaweza kupungua lakini nafasi hizi zinabaki kama zilivyo. Nafasi hizi kwenye mchezo wa soka ni Golikipa, safu ya ulinzi, viungo na washambuliaji. Sheria #2: Vipimo vya mpira Mzingo (mzunguko) wa mpira wa miguu hautakiwi kuzidi kipimo cha inchi 28 (sawa na sentimita 70) na hautakiwi kupungua inchi 27 (sawa na sentimita 68). Mpira saizi namba 5...

Mabadiliko ya Kanuni za Mpira wa Miguu kwa Msimu wa 2019/2020

Image
The International Football Association Board (The IFAB) , imebadilisha baadhi ya kanuni za mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita nchini Scotland . Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:- 1. KUTAKUWA HAKUNA MREJESHO KUTOKANA NA PIGO LA PENATI Mchezo utasimama kwa kuanzishwa kama penati imeokolewa au imegonga mwamba , hii ina maana hakuna tena nafasi ya kufuata mpira na kufunga ( Rebound ) kwa maana hiyo wachezaji hawatokuwa na uhitaji wa kujipanga nje ya 18. 2.MPIRA KUCHEZWA NA MKONO. Kuanzia Juni mosi goli litakalofungwa ambalo limegusa mkono wa mchezaji kwa maksudi au bahati mbaya ( Mfungaji ) halitakubaliwa. 3.MABADILIKO YA MCHEZAJI  Mchezaji ambaye atakuwa anafanyiwa mabadiliko ataruhusiwa kutoka kupitia upande wowote ule wa uwanja  4. GOAL KICK  Mchezaji ataruhusiwa kugusa mpira hata ndani ya eneo la 18 kutoka kwa kipa , ambapo sasa hivi ni mpaka mpira utoke kwenye 18 ndio unaruhusiwa kuugusa. 5. KADI KWA MAKOCHA. Makocha sasa nao watakuwa wanaoneshwa ...

Singida United to play Yanga in FA Cup quarter finals, Azam FC to host Mtibwa Sugar

Goal Yanga will travel to Singida United for a place in the Azam Sports Federation Cup semi-finals Yanga will travel to Singida United for a place in the Azam Sports Federation Cup semi-finals. Azam FC, who booked their place in the quarter-finals after beating KMC will host Mtibwa Suger at Chamazi Complex, Dar es Salaam. Elsewhere, the lowest division team remaining in the tournament JKT Tanzania who beating Ndanda FC in the quarter final will face a trip to face Tanzania Prisons. Meanwhile, Shinyanga based side Stand United will host Njombe Mji of Iringa. Draw suggest that, the winner between Singida United with Yanga will face either Tanzania Prison or JKT Tanzania, while the winner between Azam FC with Mtibwa Sugar will play either Stand United or Njombe Mji. The draw in full:  Singida United vs Yanga  Tanzania Prisons vs JKT Tanzania  Azam FC vs Mtibwa Suger  Stand United vs Njombe Mji 

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 01.04.2018

Image
Haki miliki ya picha REX FEATURES Image caption Alvaro Morata Real Madrid itajaribu kumrejesha mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata kwenda Bernabeu msimu huu kufuatia mchezaji huyo wa miaka 25 kuhamia Chelsea Julai iliyopita kwa rekodi ya pauni milioni 60. (Express) Cristiano Ronaldo apigwa breki na Uholanzi Manchester United itamchukua mshambulizi mfaransa Anthony Martial, 22, ili kumununua mchezaji wa Real Madrid na Wales Gareth Bale, 28, msimu huu. (Mirror) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Antoine Griezmann Mshambulizi wa Atletico Madrid Antoine Griezmann amekataa kuhamia Old Trafford na badala yake kuamua kuhamia Barcelona. Mchezaji huyo wa miaka 27 anataka kusalia La Liga kwa pauni milioni 88 akiijiunga na Barcelona. (Sun) Shujaa wa Panama anayepanga kuhangaisha England Kombe la Dunia Meneja wa Chelsea Antonio Conte amekiri kuwa hana uhakika kuwa atakuwa Stamford Bridge msimu ujao. (Mail) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Antonio Conte...

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 24.03.2018

Image
Image caption Neymar huenda akaikosa michuano ya kombe la dunia kwa kuwa majeruhi Manchester City na Manchester United zote kwa pamoja zitapambana kujaribu kumsajili nyota wa Brazil Neymar iwapo ataamua kuondoka Paris St-Germain. Real Madrid pia wanajaribu kupata saini yake, lakini PSG wamesema hawamuachii. (Mundo Deportivo - in Spanish) Kufuatia kocha wa Manchester Jose Mourinho kumshambulia kwa maneno mlinzi wa kushoto wa klabu hiyo Luke Shaw, kunaweka pia hatarini kumpata winga wa Real Madrid na raia wa Wales Gareth Bale. (mail) Gareth Bale ataondoka Real Madrid na kujiunga na Manchester United wakati wa majira ya joto iwapo Zinedine Zidane atasalia kuiongoza miamba hiyo ya Bernabeu .(mirror) Lakini mshambuliaji huyo wa Real Madrid, ameambiwa na meneja wa Wales na kiungo wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs kusalia katika La Liga kuliko kurudi Premier League. (express) Image caption Rashford ataiongoza Uingereza kwenye safu ya ushambuliaji katika michuano ya kombe la ...