Posts

Showing posts from February, 2019
TAZAMA neno la mwisho la sentensi hii kwa muda fulani. Bila kusogeza macho yako, je, unaweza kuona sehemu fulani ya juu, ya chini, na kandokando ya gazeti hili? Yaelekea unaweza kwa sababu jicho lina uwezo wa kuona vitu vilivyo kandokando huku ukitazama mbele. Uwezo huo wa jicho hukuwezesha kutambua kwamba kuna mtu anayekukaribia kutoka kando. Hukusaidia usikanyage vitu vilivyo chini na kuepuka kujigonga ukutani unapotembea. Hata unapoendesha gari, uwezo huo wa jicho unaweza kukusaidia kujua kwamba mtu fulani anayetembea ameingia barabarani. Lakini hata sasa unaposoma habari hii, huenda uwezo wa jicho lako wa kuona vitu vilivyo kando yako unadhoofika polepole bila wewe kujua. Inakadiriwa kwamba watu milioni 66 ulimwenguni pote wana magonjwa fulani ya macho ambayo kwa jumla huitwa glakoma. Zaidi ya watu milioni tano kati yao wamekuwa vipofu kabisa. Hivyo, glakoma ndicho kisababishi cha tatu kikuu cha upofu. Jarida la kitiba  The Lancet  linasema hivi: “Lakini, hata katika nchi zilizo

Glakoma Ugonjwa Unaosababisha Upofu

Glakoma Ugonjwa Unaosababisha Upofu TAZAMA neno la mwisho la sentensi hii kwa muda fulani. Bila kusogeza macho yako, je, unaweza kuona sehemu fulani ya juu, ya chini, na kandokando ya gazeti hili? Yaelekea unaweza kwa sababu jicho lina uwezo wa kuona vitu vilivyo kandokando huku ukitazama mbele. Uwezo huo wa jicho hukuwezesha kutambua kwamba kuna mtu anayekukaribia kutoka kando. Hukusaidia usikanyage vitu vilivyo chini na kuepuka kujigonga ukutani unapotembea. Hata unapoendesha gari, uwezo huo wa jicho unaweza kukusaidia kujua kwamba mtu fulani anayetembea ameingia barabarani. Lakini hata sasa unaposoma habari hii, huenda uwezo wa jicho lako wa kuona vitu vilivyo kando yako unadhoofika polepole bila wewe kujua. Inakadiriwa kwamba watu milioni 66 ulimwenguni pote wana magonjwa fulani ya macho ambayo kwa jumla huitwa glakoma. Zaidi ya watu milioni tano kati yao wamekuwa vipofu kabisa. Hivyo, glakoma ndicho kisababishi cha tatu kikuu cha upofu. Jarida la kitiba  The Lancet  linasema

FAHAMU TIBA ZA MAGONJWA YA MACHO

1. CONJUCTIVITIS/ Maumivu na kuvimba eneo la jicho DAWA: Kula Apricot kiasi kila siku -kula karoti sita kwa kutafuna bila kuongeza kitu chochote tafuna bila kutoa maganda yake -ongeza kula vyakula vyenye vitamin B kama nafaka zisizo kobolewa,viazi,ndizi,maharage nk. 2.CATARACTS/Utando mweupe juu ya jicho unaozuia kuona -Ongeza kula karoti kwa idadi ya sita kila siku (unaweza kuaanda juisi au kwa kutafuna) -Ongeza Kula mboga za majani na matunda -ongeza kutunia/kula mafuta ya karanga,ngano,maharage ya sosa. PUNGUZA/ ACHA KABISA -KULA SAMLI YA MAZIWA -KULA CHUMVI -MAFUTA YA MWILI( fanya mazoezi) 3.night blindness/kuto ona usiku -Kula karoti ,kwa juis glasi moja kila siku. AU kwakutafuna 6 kwa siku. ongeza kula APRICOT Pia kula maembe kila siku. 4 GLAUCOMA/ Kupoteza uwezo wa kuona. ugonjwa huu unasababishwa na kuongezeka kwa majimaji katika eneo la jicho. MATIBABU: Ongeza kula karoti kwa wingi. pia kula machungwa kwa wingi kila siku. kula mahindi/ ugali usio kobolewa. PUNGUZA/