FAHAMU TIBA ZA MAGONJWA YA MACHO


1. CONJUCTIVITIS/ Maumivu na kuvimba eneo la jicho
DAWA: Kula Apricot kiasi kila siku
-kula karoti sita kwa kutafuna bila kuongeza kitu chochote tafuna bila kutoa maganda yake
-ongeza kula vyakula vyenye vitamin B kama nafaka zisizo kobolewa,viazi,ndizi,maharage nk.
2.CATARACTS/Utando mweupe juu ya jicho unaozuia kuona
-Ongeza kula karoti kwa idadi ya sita kila siku (unaweza kuaanda juisi au kwa kutafuna)
-Ongeza Kula mboga za majani na matunda
-ongeza kutunia/kula mafuta ya karanga,ngano,maharage ya sosa.
PUNGUZA/ ACHA KABISA
-KULA SAMLI YA MAZIWA
-KULA CHUMVI
-MAFUTA YA MWILI( fanya mazoezi)
3.night blindness/kuto ona usiku
-Kula karoti ,kwa juis glasi moja kila siku. AU kwakutafuna 6 kwa siku.
ongeza kula APRICOT
Pia kula maembe kila siku.
4 GLAUCOMA/ Kupoteza uwezo wa kuona.
ugonjwa huu unasababishwa na kuongezeka kwa majimaji katika eneo la jicho.
MATIBABU:
Ongeza kula karoti kwa wingi.
pia kula machungwa kwa wingi kila siku.
kula mahindi/ ugali usio kobolewa.
PUNGUZA/ ACHA KABISA
Matumizi ya kahawa
vyakula vya protini hasa kutoka kwa wanyama .

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA TUNGUJA PORI,NYANYA ZA MSHUMAA/CHUNGU/NGOGWE KIAFYA.

FAIDA YA MBOGA YA MCHICHA NI DAWA YA KUTIBU MARADHI MENGI TU UKITUMIA.

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU