NAKALA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (ID COPY)


NIDA inatoa vitambulisho vya aina tatu, ambavyo ni kitambulisho cha raia, kitambulisho cha mgeni mkaazi, na kitambulisho cha mkimbizi.

Mahitaji yake:
  1. Cheti cha kuzaliwa
  2. Cheti za elimu ya msingi,
  3. Pasi ya kusafiria (Pasipoti)
  4. Cheti cha elimu ya sekondari (kidato cha iv na vi)
  5. leseni ya udereva
  6. Kadi ya bima ya afya
  7. Kadi ya mfuko wa hifadhi ya jamii
  8. Kadi ya mpiga kura
  9. Nambari ya mlipa kodi (Tin. No)
  10. Kitambulisho cha mzanzibar mkazi
  11. Barua kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa


CLICK HERE https://services.nida.go.tz/nidportal/NID_Copy.aspx

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA TUNGUJA PORI,NYANYA ZA MSHUMAA/CHUNGU/NGOGWE KIAFYA.

FAIDA YA MBOGA YA MCHICHA NI DAWA YA KUTIBU MARADHI MENGI TU UKITUMIA.

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU