leo tunaendelea kufafanua faida zake hasa kwa nywele za binadamu. Jambo muhimu la kuzingatia wakati wa usiku ni muda wa kumaliza kula na kunywa juisi hiyo. Hakikisha unakunywa juisi yako angalau masaa mawili baada ya kula chakula chako cha mwisho jioni. Kama tatizo lako ni kubwa, kunywa juisi hii asubuhi na jioni hadi utakapoona tatizo la kutoka damu wakati wa kujisaidia limetoweka.Kwa kawaida tatizo huweza kutoweka ndani ya siku tatu au saba tu. Lakini tatizo lako kama ni sugu, unaweza kutumia kwa muda mrefu kidogo, lakini bila shaka litaisha. Watu wengi wametumia tiba hii rahisi kuondoa tatizo hilo bila kulazimika kufanyiwa upasuaji. TAHADHARI Kiasi unachotakiwa kunywa kwa mara moja kisizidi glasi moja ndogo. Utakapokunywa kwa mara ya kwanza utajisikia vibaya na kichefuchefu, hali hiyo ni ya kawaida, jikaze na baada ya muda utajisikia vizuri. Inashauriwa usinywe ukiwa umekunywa pombe au ukiwa ulilala na pombe kichwani, kwani lazima utatapika. Dozi hii ni kw...
Ayubu
ReplyDelete