Posts

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA WIZARA YA AFYA

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb Na. FA 97/128/01/”A’’/31 cha tarehe 12 Julai 2019 kwa ajili ya kuajiri watumishi 550 wa kada mbalimbali za afya. Hivyo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI inapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kada za Afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia leo tarehe 22/07/2019 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati. Nafasi zinazotangazwa ni zifuatazo:-  1. Daktari Daraja la II Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza mafunzo ya kazi “Internship” ya muda usiopungua mwaka mmoja na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).  2. Tabibu Daraja la II Waombaji wawe na Stashahada (Diploma) ya Utabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.  3. Tabibu Msaidizi Wao...

NAKALA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (ID COPY)

NIDA inatoa vitambulisho vya aina tatu, ambavyo ni kitambulisho cha raia, kitambulisho cha mgeni mkaazi, na kitambulisho cha mkimbizi. Mahitaji yake: Cheti cha kuzaliwa Cheti za elimu ya msingi, Pasi ya kusafiria ( Pasipoti ) Cheti cha elimu ya sekondari ( kidato cha iv na vi ) leseni ya udereva Kadi ya bima ya afya Kadi ya mfuko wa hifadhi ya jamii Kadi ya mpiga kura Nambari ya mlipa kodi ( Tin. No ) Kitambulisho cha mzanzibar mkazi Barua kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa CLICK HERE https://services.nida.go.tz/nidportal/NID_Copy.aspx

Online TIN Registration

Welcome to TRA ONLINE REGISTRATION, ELECTRONIC FILING & PAYMENT REGISTRATION GATEWAY! click here.   https://gateway.tra.go.tz

Mpya » Salary Slip Portal Tanzania by Government Salary Slip Portal

Image
Salary Slip Portal - Ministry of Finance and Planning click here.  https://salaryslip.mof.go.tz/

CandidateRegistration form

                          Candidate Registration form V & College Copy and paste the link below to start registration for the selected student to form five studies http://selform.tamisemi.go.tz/CandidateRegistration/

Sheria 17 za mpira wa miguu, Soka

Kila msimu mpya, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) hutoa mabadiliko ya “Sheria za Mchezo” zinazoelezea kiundani taratibu za mchezo huo. Zifuatazo ni Sheria 17 za mpira wa miguu. Sheria #1: Uwanja Kuna vipimo maalumu vya viwanja wa mchezo wa soka, viwanja vidogo na vikubwa kadhalika. FIFA inasema kwamba katika mashindano ya mchezo wa soka wenye timu za wachezaji 11 kila moja, urefu wa uwanja unatakiwa uwe kati ya mita 100 na mita 130 na upana wake uwe kati ya mita 50 na 100. Kuna nafasi 11 za wachezaji kwenye uwanja wa mpira wa miguu lakini zote zinaweza kuwekwa kwenye makundi makuu manne. Kwenye michezo midogo, idadi ya wachezaji kwenye kila timu inaweza kupungua lakini nafasi hizi zinabaki kama zilivyo. Nafasi hizi kwenye mchezo wa soka ni Golikipa, safu ya ulinzi, viungo na washambuliaji. Sheria #2: Vipimo vya mpira Mzingo (mzunguko) wa mpira wa miguu hautakiwi kuzidi kipimo cha inchi 28 (sawa na sentimita 70) na hautakiwi kupungua inchi 27 (sawa na sentimita 68). Mpira saizi namba 5...

Mabadiliko ya Kanuni za Mpira wa Miguu kwa Msimu wa 2019/2020

Image
The International Football Association Board (The IFAB) , imebadilisha baadhi ya kanuni za mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita nchini Scotland . Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:- 1. KUTAKUWA HAKUNA MREJESHO KUTOKANA NA PIGO LA PENATI Mchezo utasimama kwa kuanzishwa kama penati imeokolewa au imegonga mwamba , hii ina maana hakuna tena nafasi ya kufuata mpira na kufunga ( Rebound ) kwa maana hiyo wachezaji hawatokuwa na uhitaji wa kujipanga nje ya 18. 2.MPIRA KUCHEZWA NA MKONO. Kuanzia Juni mosi goli litakalofungwa ambalo limegusa mkono wa mchezaji kwa maksudi au bahati mbaya ( Mfungaji ) halitakubaliwa. 3.MABADILIKO YA MCHEZAJI  Mchezaji ambaye atakuwa anafanyiwa mabadiliko ataruhusiwa kutoka kupitia upande wowote ule wa uwanja  4. GOAL KICK  Mchezaji ataruhusiwa kugusa mpira hata ndani ya eneo la 18 kutoka kwa kipa , ambapo sasa hivi ni mpaka mpira utoke kwenye 18 ndio unaruhusiwa kuugusa. 5. KADI KWA MAKOCHA. Makocha sasa nao watakuwa wanaoneshwa ...