Posts

Kizunguzungu

Image
  Tatizo La Kusikia Kizunguzungu – Vertigo     Ukiwa mdogo, ulishashiriki mchezo ambapo ulijizungusha au ulipanda kwenye ule mchezo wa kuzunguka (merry-go-round)? Kama ulifanya michezo hiyo, utakumbuka hali iliyokupata baada ya mchezo. Dunia yote ilizunguka mbele yako. Kuna tatizo ambalo humpata mtu, akiwa umesimama kidete akahisi dunia yote inazunguka. Tatizo hili kitaalamu huitwa vertigo. Kitaalamu, tatizo hili linahusishwa na dosari za ndani ya maeneo ya mwili ya kutuwezesha kusimama bila kuyumba, yaliyomo ndani ya sikio na kwenye ubongo. Vertigo ni hali ya kuona kuwa chumba na mazingira yanayokuzunguka, vyote vikiwa kwenye duara, kukuzunguka wewe. Kwa lugha ya kawaida, ni tatizo la kusikia kizunguzungu. Vertigo inaweza kutokea kama mtu atachungulia chini kutoka sehemu iliyo juu sana, lakini mara nyingi tunamaanisha hali inayotokea kwa muda mfupi au kizunguzungu cha muda mrefu kutokana na dosari za sehemu ya ndani ya sikio au ubongo. Vertigo si ugonjwa bali ni dalili y...

FOMU ZA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU

Image
  Fomu za kujiunga na Vyuo vya Ualimu vya Serikali kwa mwaka wa masomo 2020/2021 http://www.moe.go.tz/sw/component/k2/item/2572-fomu-za-kujiunga-na-vyuo-vya-ualimu.html BUNDA TC HOT Download BUSTANI TC HOT Download BUTIMBA TC HOT Download DAKAWA TC HOT Download ILONGA TC HOT Download KABANGA TC HOT Download KASULU TC HOT Download KATOKE TC HOT Download KINAMPANDA TC HOT Download KITANGALI TC HOT Download KLERUU TC HOT Download KOROGWE TC HOT Download MAMIRE TC HOT Download MANDAKA TC HOT Download MARANGU TC HOT Download MONDULI TC HOT Download MHONDA TC HOT Download MOROGORO TC Download MPUGUSO TC HOT Download MPWAPWA TC HOT Download MTWARA (K) TC HOT Download MTWARA (U) TC HOT Download MURUTUNGURU TC HOT Download NACHINGWEA TC HOT Download NDALA TC HOT Download PATANDI TC HOT Download SHINYANGA TC HOT Download SINGACHINI TC HOT Download SONGEA TC HOT Download SUMBAWANGA TC HOT Download TABORA TC HOT Download TANDALA TC HOT Download TARIME TC HOT Download TUKUYU TC HOT Download VIK...