Posts

Mfumko wa bei wapungua Tanzania

Image
Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Uchumi wa nchi za Afrika ulishuka hadi asilimia 1.6 mwaka 2016 Mfumuko wa bei nchini Tanzania unaripotiwa kupungua kwa asilimia 0.2 kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 3.9 ,Taasisi ya taifa ya Takwimu imeeleza Pamoja na hayo gharama za bidhaa za watumiaji imepanda kwa asilimia 1.2 ikilinganishwa na rekodi ya mwezi Januari mpaka Februari mwaka 2018. Ongezeko hili limegusa hasa bidhaa za chakula.Baadhi ya bidhaa hizo ni mchele wenye ongezeko la asilimia 3.8,mahindi 4.1 samaki kwa 2.6, mboga za majani kwa 5.3 na unga wa muhogo kwa 1.9%. Image caption Gharama za chakula zimeongezeka Kwa upande mwingine bidhaa zilizochangia ongezeko hili ni mafuta ya taa, mkaa, na dizeli. ''Kitu kimoja kinachoathiri mfumuko wa bei ni chakula hata kama bidhaa nyingine zitashuka gharama bado mtumiaji hatahisi nafuu hiyo kwa kuwa matumizi yao makubwa yako kwenye chakula kwanza kabla ya sehemu nyingine''.Ameeleza mchumi Dr Abel Kinyondo kuto...

Tanzania imezindua chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi

Image
Image caption Binti akionyesha kadi yake baada ya kupokea chanjo Serikali ya Tanzania imezindua kampeni ya chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi. Zaidi ya wasichana laki 6 walio na umri kati ya miaka 9 hadi 14 watachanjwa nchini nzima. Mambo 10 yanayopunguza hatari ya kuugua saratani Utafiti: Vyakula vya kusindika huleta saratani Image caption Duniani, kuna zaidi ya wanawake 260,000 wanaofariki kwa sababu ya saratani ya shingo ya kizazi Huenda chanjo hii ikawakomboa wanawake na wasichana wengi kama wakijitokeza na kupata chanjo mapema zaidi. Fahamu walimbwende watatu kutoka Tanzania waliobadilika kuwa wanaharakati "Saratani ya shingo ya kizazi ndio inayojitokeza zaidi Tanzania na ni chanzo cha vifo na magonjwa yanayohusiana na saratani miongoni mwa wanawake nchini."meneja wa mradi Daphrosa Lyimo aliiambia BBC. Image caption Msichana mmoja akiandikishwa katika zoezi la uzinduzi "Duniani, kuna zaidi ya wanawake 260,000 wanaofariki kwa sababu ya sara...

36 wahukumiwa kifo Misri kwa kushambulia makanisa ya Coptic

Image
Image caption Watuhumiwa thelathini na sita wahukumiwa adhabu ya kifo nchini Misri Mahakama ya kijeshi huko Misri imewahukumu watu thelathini na sita adhabu ya kifo kutokana na makosa ya mashambulizi dhidi ya makanisa ya Coptic. Watu sabini walikufa kutokana na shambulizi la bomu katika kanisa kuu la ki Coptic mjini Cairo mwishoni mwa mwaka 2016, na makanisa ya Alexandria na Tanta yaliripuliwa siku kama hiyo mwezi wa nne mwaka uliofuata. Tayari kundi la wanamgambo wa kiislamu wenye msiamamo mkali wamekiri kuhusika na mashambulizi hayo matatu. Wameendelea kukiri kuwa kazi yao kubwa ilikuwa kuwashambulia wakristo wachache, pamoja na mamlaka ya kijeshi. Wakristo wa Coptic wauawa shambulio la basi Misri Milipuko yawaua watu 36 kanisani nchini Misri Misri inahitaji mahakama kupeleka kesi za namna hiyo kwa Mufti mkuu nchini humo kwa kuzingatia adhabu ya kifo kabla ya hukumu ya mwisho.

Trump: 'sikufahamu kuhusu malipo kwa Stormy Daniels

Rais Trump amesema kuwa hakufahamu kuhusu malipo ya fedha za Kimarekani 130,000 yaliyolipwa na wakili wakili kwa mchezaji filamu za utupu Stormy Daniel kabla ya uchaguzi wa 2016. Hii ni mara yake ya kwanza kuzungumzia swala hilo. Alipoulizwa alipokuwa kwenye ndege ya Air Force One kama alifahamu kuhusu malipo hao na hela zilipotoka , Bwana Trump alisema "Hapana" Alipoulizwa kwa nini wakili wake Michael Cohen alifanya malipo hayo, Bwana Trump alisema: "Inabidi umuulize Michael" Muigizaji huyo anasema alifanya tendo la ndoa na Bwana Trump mwaka 2006. Bwana Trump amekana madai hayo. Bi Daniels, ambaye jina lake halisi ni Stephanie Clifford,anasema alisaini makubaliano ya kubaki kimya kuhusu mashusiano yake na Bw Trump na kulipwa dola za Marekani 130,000 mwezi Oktoba 2016, kabla ya uchaguzi wa urais. Mwigizaji adai alitishiwa kuhusu madai ya kufanya ngono na Trump Je Trump alikuwa na 'uhusiano' na nyota wa filamu za n...

Kenya yaanzisha mpango wa barabara za ‘mwendo kasi’

Serikali ya Kenya imeanza mpango wa kutenga mkondo mmoja kwenye barabara kuu ya Thika wa kutumiwa na mabasi ya kubeba abiria jijini Nairobi. Waziri wa uchukuzi nchini humo James Macharia amesema mpango huo ambao utaanza kutekelezwa mara moja unalenga kupunguza msongamano wa magari jijini Nairobi. Bw Macharia akizungumza katika mkutano wa kamati ya Bunge la Seneti kuhusu barabara nchini humo amesema mpango huo umeanza kutekelezwa. Barabara ya Thika ni miongoni mwa barabara sita kuu za kuingia na kutoka jijini Nairobi ambazo zinaangaziwa na serikali kwa sasa katika juhudi za kupunguza msongamano. Bw Macharia amesema mpango huo pia utachangia kushuka kwa nauli. "Tunahitaji zaidi ya mabasi 900 katika njia hizi sita kuu za kuingia na kutoka jijini lakini kwa sababu hatuna mabasi hayo, tumefungua njia moja, barabara kuu ya Thika," amesema Bw Macharia kwa mujibu wa gazeti la Nation. Huku waziri huyo akitoa tangazo hilo, shughuli ya kuchora ...

Mwigizaji wa India Salman Khan ahukumiwa kufungwa jela kwa kosa la uwindaji haramu

Mahakama moja ya India imemhukumu nyota muigizaji wa sinema za Bollywood Salman Khan, hukumu ya miaka mitano jela kwa kuua aina mojawepo ya swala ambao ni adimu kupatikana duniani mwaka 1988. Mahakama hiyo iliyoko Jodhpur imemtoza faini ya rupia 10,000 ($154; £109) kwa kosa hilo. Amepelekwa korokoroni na anatarajiwa kusalia huko kwa muda. Khan aliwaua swala wawili kwa jina blackbucks , ambao hulindwa na kuhifadhiwa, Magharibi mwa jimbo la Rajasthan alipokuwa akiigiza filamu. Zsa Zsa Gabor, mwigizaji aliyeolewa mara tisa Mwigizaji adai alitishiwa kuhusu madai ya kufanya ngono na Trump Waigizaji wengine wanne walioshiriki naye uigizaji kwenye filamu hiyo, waliokuwa wamehukumiwa kwa kosa hilo na mahakama ya awali, walisamehewa. Khan, 52 , anaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo wa mahakama ya juu. Wanahabari wamesema atasalia korokoroni kwa siku kadha. Ni ni chanzo cha kesi ya Khan? Hii ni kesi ya nne iliyowasilishwa dhidi ya mwigizaji huyo inayohusiana na uwindaj...

Sanitation Systems

Image
Author/Compiled by Dorothee Spuhler (seecon international gmbh) Robert Gensch (Xavier University) Water resources are under increasing pressure. Continuing population growth, urbanisation, rapid industrialisation as well as expanding and intensifying food production are all putting pressure on water resources (UNEP 2010). Once used, water is often discharged without any treatment - despite the urgent need for water and nutrients in agriculture and the contamination of aquatic ecosystems. In order to meet future demands for water and nutrients it is important to adopt a sustainable wastewater management. Wastewater management refers to the process in which wastes and wastewater are managed from the point of generation to the point of use or ultimate disposal. The hardware answers to wastewater management are sanitation systems. Sanitation systems are a combination of different functional units that together allow managing a...